Friday, 12 February 2010

OBAMA HALISI

Huyu ni baba wa Obama unakubali? kama unadout yoyote wewe iangalie pua ya huyu mzee na ile ya Obama .


Aliyebebwa ni Rais Obama nadhani anaambiwa taratibu usijeukaanguka nakutegemea utakuwa rais miaka ijayo. Nahicho kichanga ndio yeye mwenyewe anaanza kuunyemelea urais.Unaweza kukjua nani kabla sijakwambia? ni rais wa Marekani na dunia nzima akiwa na umri wa miaka sita. picha ya chini Obama akiwa na bibi mzalia baba yake nchini yupo afrika ambako familia ya baba yake ndiko ilikotokea.


Nikijana anaeonekana kutokerwa na jambo lolote manake tangu azaliwe anacheka kwa kila jambo au sijui alijijua kama atakuwa rais sku moja.Nisiku ya ndoa yake na Michellemama wa watoto wake wawili Malia na Natasha.

Nakupenda sana huku ndio kwetu vipi umekupenda au tuondoke? Alipompeleka mkewe kwao upande wa baba yake."nadhani sasa utaweza kuhimili maisha japo kwa asilimia ndogo usitutupe lakini" Hayo ni maneno aliokuwa akiambiwa na bibi na babu yake baada ya kumaliza chuo Columbia University alikofanya degree ya kwanza ya Political Science.Tunamaliza na mwanzo wa maisha yake mapya ya kuitawala dunia na alifanikiwa kuingia madarakani mwaka 2008 akiwa na umri wa miaka 62, ukweli ni kwamba waafrika dunia nzima walifurahia ushindi wake mpaka leo najiuliza kwanini? Au ndio mwafrika mwenzetu au tunategemea nini kutoka kwake?


Huyu ndie rais vipi ushaanza kujiuliza akitoka huyu baada ya miaka 8 nani atakuja? Angekuwa Micko hajafa ningesema yeye au pengine eddi muphy.
1 comment: