Monday 8 February 2010

Jina langu kamili ni Salha Mohammed Ali ni muajiriwa wa Television Zanzibar ni muandishi wa habari kwa muda wa miaka kumi sasa. Ukweli nikwamba nnaipenda sana kazi yangu na nimejiendeleza ili kukabiliana vema na mabadiliko ya kitechnoloja yalivyo, napenda sana kuandika na kutayarisha katika masuala ya wanawake na watoto na nina uzoefu wa kazi kwa miaka kumi sasa..

No comments:

Post a Comment